Home


DAWASA inatekeleza miradi muhimu ya kuongeza uzalishaji wa maji katika Jiji la Dar es Salaam na miji ya mkoa wa Pwani.

Ziara ya Mawaziri wa maji barani Africa wafanya ziara katika mtambo wa Ruvu juu unaosimamiwa na DAWASA ili kuona shughuli ya uzalishaji maji zinavyofanyika katika mtambo huo

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof.Kitila Mkumbo aipongeza DAWASA kwa kukamilisha miradi ya Maji Ruvu juu na Ruvu Chini