News

Mamlaka ya Majisafi na Majitaka katika Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani(DAWASA) inapenda kutoa taarifa kwa umma juu ya utekelezaji wa mradi wa maji katika eneo la Majimatitu na Lumbanga k

Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka mkoa wa Dar es Salaam na Miji ya Pwani(DAWASA) inapenda kutoa taarifa ya utekelezaji wa mraji wa maji katika wilaya ya Kisarawe.

 

Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam(DAWASA) inapenda kutoa taarifa za maendeleo ya miradi ya maji na hatua mbalimbali za utekelezaji.Fungu hapa chini ili kupata taarifa z

Bodi ya Wakurugenzi wa DAWASA wamefanya ziara ya kukagua shughuli za uchimbaji visima vya Mpiji na Mpera vilivyopo eneo la Mkuranga mkoa wa Pwani.Wajumbe wameridhishwa na kasi ya uch

DAWASA would like to invite bidders for Kisarawe Water Supply Project ,further details can be obtained in the following advert below:
Mamlamka ya Majisafi na Majitaka Mkoa wa Dar es Salaam inapenda kumpongeza Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano  wa Tanzania ,Dkt.John Pombe Magufuri kwa kuimarisha huduma za maji kat

Katika kudumisha usafi wa mazingira,Wafanyakazi wa DAWASA wamekuwa wakishiriki kikamilifu kufanya usafi wa mazingira katika ofiza za Mamlaka na baadhi ya maeneo ya miji katika Jiji l

Katika kuhakikisha miradi ya maji ya Ruvu Juu na Ruvu Chini inakamilika kwa wakati,Bodi ya DAWASA imefanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi na ulazaji

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa muda mrefu imekuwa ikishirikiana na Serikali ya India, katika kuchangia maendeleo ya nchi katika nyanja mbalimbali