Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Mkoa wa Dar es Salaam(DAWASA) inapenda kuutarifu umma na hususani wakazi wa wilaya ya Kisarawe,Pwani kuwa leo kutakuwa na hafla ya kusaini mkataba wa kutekeleza agizo la Mheshimiwa Rais,Dkt. John Pombe Magufuli kwa DAWASA kupeleka maji katika mji wa Kisarawe. Fungua kiambatanisho cha taarifa kamili hapa chini
Documents