DAWASA inapenda kuutaarifu umma na wakazi wa Jiji la Dar es Salaam juu ya maendeleo ya usambazaji na ulazaji wa mtandao wa mabomba ya maji katika maeneo mbalimbali ya Jiji la DarĀ  es Salaam na baadhi ya maeneo ya Mji wa Bagamayo.Soma taarifa kamili hapa chini