Maktaba ya Video

#DawasaTunawahitaji

Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam DAWASA inawakumbusha wateja wote waliopo Dar es Salaam na Pwani kulipia huduma ya maji mara baada ya kupokea bili ya mwezi. Wateja wanaweza kulipia bili zao za maji kupitia mtandao wa simu wa Tigo. #DawasaTunawahitaji

Imewekwa: May 24, 2019

Maji yameanza kuingia tenki la Mbagala.

Maji yameanza kuingia tenki la Mbagala. Tenki hilo lililo katika mnara wenye urefu wa mita 15 lina ujazo wa lita 500,000. Maji haya yatakuwa yanasambazwa katika maeneo ya Mbagala mission, Zakhiem, Kijichi, Kibonde maji na Mbagala Baghdad.#DawasaTunawahitaji

Imewekwa: May 23, 2019

AHADI YA ENG LUHEMEJA KWA DAWASA NA WATANZANIA WA DAR ES SALAAM

AHADI YA ENG LUHEMEJA KWA DAWASA NA WATANZANIA WA DAR ES SALAAM

Imewekwa: Jan 15, 2019