Habari

Imewekwa: Aug, 01 2019

CEO Site Visit

News Images

Afisa Mtendaji Mkuu DAWASA Mhandisi Cyprian Luhemeja ametembelea mradi wa maji Kipawa unaotarajia kuhudumia kaya takribani 2000 katika eneo hilo ambapo mpaka sasa kaya zaidi ya 500 zimekwisha unganishiwa huduma.