Wafanyakazi wa DAWASA Katika Mtambo wa uzalishaji maji Ruvu Chini wakiendelea na zoezi la upimaji wa virusi vya homa ya ini pamoja na kupata chanjo ya ugonjwa huo.