Announcements

Posted On: Jul 30, 2021


TAARIFA KWA UMMA

UKOSEFU WA HUDUMA YA MAJI TEGETA POLISI HADI BAHARI BEACH

29.7.2021

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia wateja na wananchi wa Eneo la Tegeta Polisi hadi Bahari Beach kuwa kutakua na ukosefu wa huduma ya maji kwa saa 24 kuanzia tarehe 30.07.2021 mpaka Tarehe 31.7.2021

Sababu: Kuruhusu matengenezo ya miundombinu ya Maji iliyoharibiwa wakati wa uchongaji wa barabara yaliyofanywa na TARURA

Maeneo yatakayoathirika na Matengenezo ni

*Tegeta polisi, Tegeta zahanati, Ladii hotel, Contena bar, Pieta, Hindu Mandali na Bahari beach.

Wasiliana nasi kupitia kituo cha huduma kwa wateja 0800110064 (bure) au

0735 202121(WhatsApp tu)

Imetolewa na

Kitengo cha Mawasiliano na Jamii