Announcements

Posted On: Apr 29, 2022


TAARIFA KWA UMMA

TATIZO LA HUDUMA YA MAJI KWA WAKAZI WA MANZESE HADI KIGOGO

29.4.2022

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia Wateja na wananchi wa Manzese hadi Kigogo kutakua na katizo la huduma ya maji kwa muda wa saa 12 kuanzia saa 5 asubuhi hadi saa 5 usiku Leo, Ijumaa 29/4/2022.

Sababu: Kuruhusu matengenezo ya bomba la Inchi 18 eneo la Sukita- Buguruni.

Maeneo yatakayoathirika ni;

Manzese, Ubungo Maziwa, Mabibo, Mburahati, Sutika na Kigogo

Wasiliana nasi kupitia kituo cha huduma kwa wateja 0800110064 (bure) au

0735 202-121(WhatsApp tu)

0735 451 863 (DAWASA Magomeni)

https://www.dawasa.go.tz/en

Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano na Jamii

DAWASA