Announcements

Posted On: Nov 16, 2021


TAARIFA KWA UMMA

UKOSEFU WA HUDUMA YA MAJI KWEMBE.

16.11.2021

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia Wateja na wananchi wa eneo la Kisarawe mpaka Gongo la mboto kuwa kutakua na ukosefu wa Huduma ya maji Leo tarehe 16/11/2021 kwa muda wa saa 6 kuanzia saa 8 mchana mpaka Saa 2 usiku

Sababu: Kufanya matengenezo katika Bomba la Inchi 16 line ya Kisarawe.

Maeneo yatakayoathirika kutokana na matengenezo hayo ni;

Kisarawe (tank la Kisarawe), Pugu, Ukonga, Ulongoni, Gongo la mboto.

Wasiliana nasi kupitia kituo cha huduma kwa wateja 0800110064 (bure) au

0735 202-121(WhatsApp tu)

Tovuti: www.dawasa.go.tz

Mitandao ya kijamii.

Facebook: https://www.facebook.com/pg/Dawasaofficial/posts/

Instagram: https://instagram.com/dawasatz?utm_medium=copy_link

Twitter: https://twitter.com/dawasatz?s=08

YouTube: https://youtube.com/channel/UCCVyHKIvUwDFG1tUyWhd7fQ

Imetolewa na

Kitengo cha Mawasiliano na Jamii