DHakuna madai yatakayotolewa kuhusu usahihi au uhalali wa maudhui ya tovuti hii. DAWASA haitakubali dhima yoyote kwa mtu yeyoye kwa taarifa au ushauri unaotolewa kwenye tovuti hii au kushirikishwa kwenye tovuti hii kwa marejeo.
Taarifa iliyomo kwenye tovuti ya DAWASA haipaswi kuonyeshwa isipokuwa katika mfumo kamili wa sklini.
DAWASA inaweza kuwaunganisha na wavuti za tovuti za nje zilizo za serikali au zisizo za serikali (Tovuti za mtumiaji watatu) isipokuwa pale itakapoelekezwa vinginevyo;