Afisa Mtendaji Mkuu DAWASA Mhandisi Cyprian Luhemeja ametembelea mradi wa kupeleka Majisafi na salama ktk Mji wa Chalinze wenye thamani ya Bilioni 16 unaotarajiwa kumalizika mwezi Aprili 2020.Amewahakikishia wakazi wa Chalinze tatizo la Maji katika mji wao kubaki kuwa historia.
Posted On: Jul 30, 2019
Katibu mkuu Wizara ya Maji Prof Kitila Mkumbo awataka Mamlaka za Maji Nchini kutenga siku maalum kusikiliza na kutoa mrejesho Kero za Wananchi. #DawasaTunakuhitaji
Posted On: Jun 17, 2019
Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam DAWASA inawakumbusha wateja wote waliopo Dar es Salaam na Pwani kulipia huduma ya maji mara baada ya kupokea bili ya mwezi. Wateja wanaweza kulipia bili zao za maji kupitia mtandao wa simu wa Tigo. #DawasaTunawahitaji
Posted On: May 24, 2019
Maji yameanza kuingia tenki la Mbagala. Tenki hilo lililo katika mnara wenye urefu wa mita 15 lina ujazo wa lita 500,000. Maji haya yatakuwa yanasambazwa katika maeneo ya Mbagala mission, Zakhiem, Kijichi, Kibonde maji na Mbagala Baghdad.#DawasaTunawahitaji
Posted On: May 23, 2019
AHADI YA ENG LUHEMEJA KWA DAWASA NA WATANZANIA WA DAR ES SALAAM
Posted On: Jan 15, 2019