News

Fundi wa DAWASA Mapuli Msafiri akibadilisha miundombinu chakavu ya maji kwenye bomba la inchi 4 eneo la Mbegani-Bagamoyo ili kuongeza msukumo wa maji.

... Read More

Posted On: Jan 03, 2023

Kazi inalenga kuboresha upatikanaji wa huduma ya maji ya uhakika kwa wakazi wa Chuo cha Mbegani na waliopo jirani la eneo hilo.

... Read More

Posted On: Jan 03, 2023

Shughuli ya kusafisha na kuzibua chemba za majitaka ikiendelea maeneo mbalimbali ya jijini Dsm, ili kuboresha mifumo ya majitaka.

... Read More

Posted On: Dec 19, 2022

Epuka kutupa taka ngumu zinazoweza kusababish kuziba na kuleta athari za uchafuzi wa mazingira.

... Read More

Posted On: Dec 19, 2022

Mafunzo ya uongozi na utawala bora yametolewa kwa viongozi waandamizi wa DAWASA kwa lengo la kuongeza ufanisi na utendaji kazi mahala pa kazi.

... Read More

Posted On: Dec 16, 2022

Elimu ya utunzaji wa miundombinu ya maji ikitolewa kwa wakazi wa kijiji cha Manga -Mkata, Wilaya ya Handeni na Afisa Mawasiliano DAWASA Bi. E. Eusebius kwenye mkutano wa wananchi.

... Read More

Posted On: Sep 15, 2022