Zoezi la kulaza bomba la inchi 6, 4 na 3 ikitekelezwa ili kusogeza huduma ya maji kwa wakazi wa Goba mpakani ambao ni wanufaika wa mradi wa maji Makongo hadi Bagamoyo.