Kazi inalenga kuboresha upatikanaji wa huduma ya maji ya uhakika kwa wakazi wa Chuo cha Mbegani na waliopo jirani la eneo hilo.