Naibu Waziri wa Maji, Mheshimiwa Mhandisi Maryprisca Mahundi amewasili kwenye Ofisi za DAWASA na kupokea taarifa ya hali ya Upatikanaji wa huduma ya maji katika Mkoa wa Dar es Salaam.