Shughuli ya kusafisha na kuzibua chemba za majitaka ikiendelea maeneo mbalimbali ya jijini Dsm, ili kuboresha mifumo ya majitaka.