Afisa Mtendaji Mkuu DAWASA Mhandisi Cyprian Luhemeja ameanza ziara katika mradi wa maji Kigamboni na Mikoa ya kihuduma DAWASA kwa lengo la kukagua utekelezaji na kuimarisha uwajibikaji.