Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso akishiriki zoezi la kuchimba mtaro wa kupitisha bomba za maji ikiwa ni sehemu ya kuanza kwa utekelezaji wa mradi wa Maji Mtaa wa Golani