Naibu Waziri wa Maji Mhe.Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) akipokea maelezo ya upanuzi wa Mtambo wa uzalishaji maji Wami kutoka kwa Meneja wa mtambo wa uzalishaji maji Wami DAWASA