TAARIFA KWA UMMA
TAARIFA KWA WAKAZI WA MAKONGO JUU
24.8.2021
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia wateja na wananchi wa eneo la MAKONGO JUU kuwa kutakua na upungufu wa huduma ya Maji kwa muda wa saa 48 kuanzia tarehe 23/8/2021 mpaka 25/8/2021
Sababu: kuruhusu Matengenezo katika Pampu Area 4 ya kusukuma Maji.
Maeneo yatakayoathirika kutokana ni
Mongella road, Makongo CCM, Kwa Materu, Kwa Bukuku, Kona ya ajabu, Londa shule, Londa biseko, na Sakuveda.
Wasiliana nasi kupitia kituo cha huduma kwa wateja 0800110064 (bure) au
0735 202 121 (WhatsApp tu)
0736 602 601 (DAWASA Makongo)
Imetolewa na
Kitengo cha Mawasiliano na Jamii
DAWASA