Maktaba ya Picha

  • Mbunge wa Jimbo la Segerea (CCM) Mheshimiwa Bonna Kamoli ametembelea banda la Dawasa

    Mbunge wa Jimbo la Segerea (CCM) Mheshimiwa Bonna Kamoli ametembelea banda la Dawasa kwenye maonyesho ya sabasaba yanayoendelea na kupongeza juhudi za Mamlaka za kusambaza huduma ya Maji kwenye maeneo mbalimbali Jimboni kwake.

    Imewekwa : July, 05, 2019

  • Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Eng. Cyprian Luhemeja akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Prof. K. Mkumbo

    Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Cyprian Luhemeja akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Prof. Kitila Mkumbo kuhusu ulazaji wa mabomba yatakayosafirisha huduma ya maji kutokea Kibamba hadi Wilaya ya Kisarawe.

    Imewekwa : June, 07, 2019

  • CEO Site Visit

    CEO Site visit

    Imewekwa : May, 22, 2019