"Mamlaka imejipanga kuongeza utoaji huduma kupitia magari ya uondoshwaji majitaka ambapo shilingi bilioni 1.2 zitatumika kununua magari mengine.