Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Nadhifa Kemikimba ameridhishwa na kasi ya utekelezaji wa Mradi wa Maji King'azi "A" unaotekelezwa na DAWASA.