Maadhimisho hayo yamefanyika katika Uwanja wa Uhuru na mgeni rasmi ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Mhe. Mwanahamisi Munkunda.