Ø *150*01#
Ø 4 Lipia bili
Ø 5 Malipo ya serikali
Ø Ingiza kumbukumbu namba (yenye tarakimu 12 unazotumiwa kila mwezi)
Ø Ingiza kiasi
Ø Ingiza namba ya siri kukamilisha malipo
Ø *150*00#
Ø 4 Lipia kwa M-pesa
Ø 1 Namba ya malipo
Ø Weka namba ya malipo (ni kumbukumbu namba yenye tarakimu 12 unayopata kila mwezi)
Ø Weka kiasi unachodaiwa
Ø Weka namba ya siri kukamilisha malipo
Ø *150*60#
Ø 5 Lipia bili
Ø 3 Malipo ya serikali
Ø 1 weka namba ya kumbukumbu
Ø Ingiza kiasi cha pesa unachodaiwa
Ø Weka namba ya siri kulipia
Ø *150*71#
Ø Lipia bili
Ø Weka kiasi
Ø Ingiza namba ya siri
Ø *150*88#
Ø 4 Lipa kwa halo-pesa
Ø 7 Huduma za serikali