Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inapokea na kushughulikia malalamiko kuhusu utoaji wa huduma. Mteja anaweza kuwasilisha malalamiko yake kwa kutumia njia zifuatazo:- i.    Kufika Ofisi za Huduma kwa Wateja (DAWASA). ii.    Kuandika bar...
Wateja watatumiwa ankara kila mwezi na wanaweza kufanya malipo kwa njia ya benki kwa benki washiriki wa NMB,NBC, AZANIA Bank, CRDB Bank, Stanbic Bank na ABSA, Wateja wanaweza kutumia simu za kiganjani kufanya malipo kwa mitandao ya M-pesa, Tigo-pesa, Airtel Money, TTCL- Pesa na Halo-Pesa. Mamlaka h...
Bei za huduma ya majisafi kwa wateja wa dawasa isipokua wateja  wa chalinze kwa watumiaji wa majumbani na watumiaji wengine ni kiasi cha Tshs 1,663 kwa ujazo wa mita
Kundi la Wateja    Matumizi (mita za ujazo)    BEI KWA MITA YA UJAZO TSHS.1. Majumbani  (1 - 5      2,800), ( 6 - 10    2,890), (>11    2,900)   2. Biashara   =   3,710   ...
Unahitaji kuja viambatanisho vifuatavyo: Barua ya kuomba kubadilisha umiliki  Passport size 2  Hati au mkataba wa upangishaji wa nyumba Barua kutoka serikali za mitaa
DAWASA ni Mamlaka ya Maji yenye jukumu la kutoa Huduma ya Majisafi na uwondoshaji wa Majitaka ndani ya Jiji la Dar es Salaam pembezoni mwa Pwani. Dawasco ni shirika la usambazaji na usimamizi wa huduma ya Majisafi na uondoshaji wa Majitaka.