ZIARA YA MKUU WA MKOA WA PWANI PAMOJA NA MADIWANI KATIKA MTAMBO WA UZALISHAJI MAJI RUVU JUU
Ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Abubakar Kunenge pamoja na Madiwani wa Mkoa wa Pwani walipofanya ziara ya kimafunzo ya kutembelea vyanzo vya Maji na mitambo ya kuzalisha maji ili kupata uelewa wa pamoja wa hatua za uzalishaji hadi kufikisha huduma ya maji kwa wananchi.
