Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
Wateja wanapata Huduma
Wateja wanapata Huduma

1. Mtambo wa Ruvu chini unatoa huduma katika mikoa ya Bagamoyo, Mapinga, Mabwepande,Tegeta, Mivumoni, Kawe, Makongo, Magomeni, Ilala, Kigamboni na Temeke

2. Mtambo wa Ruvu Juu unahudumia mikoa ya Chalinze,Mlandizi,Kibaha,Kibamba,Ubungo,Tabata,Kinyerezi,Kisarawe,Ukonga na Temeke,

3. Mtambo wa Mtoni unahudumia mikoa ya Temeke, Mbagala 

4. Mtambo wa Wami unahudumia mikoa ya Chalinze na Bagamoyo

5. Visima virefu vya DAWASA vinahudumia Temeke,Mbagala,Ilala,Ukonga,Kigamboni, Kinondoni, Ubungo, Kinyerezi, Mkuranga na Mlandizi.