Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
4th International Water Scientific Conference
29 Jan, 2025 Pakua
4th International Water Scientific Conference

4th International Water Scientific Conference

DAWASA inawakaribisha Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam kutembelea Banda la Mamlaka katika Kongamano la Nne la Kisayansi 2025. Huduma zitakazopatikana:

1. Kufahamu taratibu za Upatikanaji huduma ya Maji.

2. Miradi ya Majisafi na Usafi wa Mazingira inayoendelea kutekelezwa na Mamlaka.

3. Kupokea changamoto za kihuduma na kuzishughulikia kwa wakati.