ANZA MWEZI MACHI BILA DENI
04 Mar, 2025
Pakua

ANZA MWEZI MACHI BILA DENI
LIPA KUPITIA MITANDAO YA SIMU - Airtel Money, M-Pesa, Mixx by Yas, T-Pesa na Halopesa
LIPA KUPITIA BENKI WASHIRIKA - CRDB Bank, NMB, NBC, AZANIA BANK, ABSA na STANBIC BANK
NB: Lipa kupitia Control Number inayoanzia na 99104XXXXXX
NB: Ukikosea malipo, fika na risiti kwenye ofisi za DAWASA
Kwa Kila Tone la Maji unalotumia, kumbuka kulipa Ankara yako, Huduma ya Maji ni jukumu letu sote.