ANZA SIKU YAKO KWA KULIPIA BILI YAKO YA MAJI
21 Jul, 2025
Pakua

ANZA SIKU YAKO KWA KULIPIA BILI YAKO YA MAJI
Lipia bili yako mapema ili kuepuka usumbufu
TUMIA HUDUMA ZA SIMU NA BENKI WASHIRIKA KWA URAHISI NA UHAKIKA
Mitandao ya Simu: Airtel Money, M-Pesa, Mixx by Yas, Halopesa na T-Pesa
Benki Washirika: NBC, NMB, CRDB na Stanbic Bank