ANZA WIKI KWA KULIPA ANKARA YAKO YA MAJI
21 Jan, 2025
Pakua

ANZA WIKI KWA KULIPA ANKARA YAKO YA MAJI
Ndugu Mteja, anza vyema wiki yako kwa kulipa huduma za maji kuepusha usumbufu wa kusitishiwa huduma.
MITANDAO YA SIMU - Mpesa, Mixx by Yas, Halopesa, T-Pesa na Airtel Money
BENKI WASHIRIKA - NMB, NBC, Stanbic Bank, ABSA, CRDB Bank, TCB na Azania Bank