ANZA WIKI KWA KULIPA ANKARA YAKO YA MAJI
24 Mar, 2025
Pakua

ANZA WIKI KWA KULIPA ANKARA YAKO YA MAJI
Ndugu mteja, anza vyema wiki yako kwa kulipa huduma za maji kuepuka usumbufu wa kusitishiwa huduma.
LIPA KUPITIA MITANDAO YA SIMU - Airtel Money, T-Pesa, Halopesa, Mixx by Yas na M-Pesa
LIPA KUPITIA BENKI WASHIRIKA - CRDB Bank, NMB Bank, NBC Bank, Stanbic Bank, ABSA, TCB na Azania Bank