ANZA WIKI KWA KULIPA BILI YA HUDUMA ZA MAJI
04 Aug, 2025
Pakua

ANZA WIKI KWA KULIPA BILI YA HUDUMA ZA MAJI
Lipia bili yako mapema ili kuepuka usumbufu
TUMIA HUDUMA ZA SIMU AU BENKI WASHIRIKA KWA URAHISI NA UHAKIKA
MITANDAO YA SIMU: Airtel Money, M-Pesa, Mixx by Yas, Halopesa na T-Pesa
BENKI WASHIRIKA: NBC, NMB, CRDB Bank na Stanbic Bank