BILI KIGANJANI MWAKO
							
							
							
							
							
						
					
                            
                                 23 Oct, 2025
                            
                                                        
                                 Pakua
                            
                                                    
                    
                    BILI KIGANJANI MWAKO
Jinsi ya kufahamu bili au Deni lako la huduma Bonyeza *152*00#
1. Bonyeza *152*00#
2. Chagua namba 6 (Maji)
3. Chagua namba 1 (Huduma za Maji za Pamoja)
4. Chagua namba 6 (Ulizia Bili)
5. Ingiza akaunti namba yako
6. Chagua njia ya malipo na kuingiza namba ya siri na kulipa
            