BILI ZA MAJI KWA MWEZI AGOSTI ZIMETOKA
17 Aug, 2024
Pakua
DAWASA inakukumbusha wateja kulipia bili mapema na kwa wakati kupitia njia zifuatazo;
NJIA ZA MALIPO YA SIMU
Mpesa, Airtel Money, Tigopesa, T-Pesa na Halopesa
NJIA ZA MALIPO KWA BENKI
CRDB Bank, NMB, NBC, AZANIA BANK, ABSA, STANBIC BANK na TANZANIA COMMERCIAL BANK