BILI ZA MWEZI APRILI ZIMETOKA
16 Apr, 2025
Pakua

BILI ZA MWEZI APRILI ZIMETOKA
Lipia kupitia njia zifuatazo:
MITANDAO YA SIMU - Airtel Money, M-Pesa, Mixx by Yas, T-Pesa na Halopesa
BENKI WASHIRIKA - CRDB Bank, NMB, NBC, Azania Bank, ABSA na Stanbic Bank
Lipa kupitia Control Number inayoanzia na 99104XXXXXXXX