Wizara ya Maji

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA)

TIRA Logo
DAWASA MUBASHARA NDANI YA MORNING TRUMPET – UTV!
05 Nov, 2026 Pakua
DAWASA MUBASHARA NDANI YA MORNING TRUMPET – UTV!

DAWASA MUBASHARA NDANI YA MORNING TRUMPET – UTV!

🎙️ Mhandisi Ndele Mengo, Mkurugenzi wa Uzalishaji na Usambazaji Maji – Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA), atakuwa mubashara kupitia UTV kujadili mada ya “Upatikanaji wa Huduma ya Maji katika Eneo la Kuhudumia DAWASA.”

📅 Alhamisi, 05 Novemba 2026
⏰ Saa 1:00 – 2:30 Asubuhi
📺 UTV – Morning Trumpet

💧 Usikose kufahamu mikakati, mafanikio na juhudi za DAWASA katika kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora na endelevu ya maji.

🔴 USIKOSE KUFUATILIA!