Wizara ya Maji

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA)

TIRA Logo
DAWASA NA WADAU
14 Sep, 2026 Pakua
DAWASA NA WADAU

DAWASA NA WADAU

Je, wewe ni mmiliki au unaendesha huduma ya usafi wa vyombo vya moto (Car wash), au unafanya shughuli ya mbogamboga na maua katika Wilaya ya Kinondoni?

DAWASA ina jambo lake kubwa na Wadau hawa Muhimu

Tarehe: 14.9.2026

Muda: Saa 3:00 Asubuhi

Eneo: DAWASA Kawe (Karibu na Viwanja vya Tanganyika Parkers)