DAWASA TUTAKUWEPO - MAONYESHO SIKU YA WAHANDISI KITAIFA 2025
25 Sep, 2025
Pakua
DAWASA TUTAKUWEPO - MAONYESHO SIKU YA WAHANDISI KITAIFA 2025
Siku: Alhamisi, 25 Septemba, 2025.
Muda: Kuanzia Saa 3 Asubuhi
Eneo: Mlimani City. Dar es Salaam
HUDUMA ZITOLEWAZO:
1. Elimu ya huduma za Maji
2. Matumizi ya Mita za malipo ya Kabla (Prepaid Meter)
3. Uelewa wa ankara yako ya Maji
4. Kusikiliza changamoto za Watumia huduma.
