DAWASA YETU WIKI HII
08 Dec, 2025
Pakua
Gazeti mtandao wiki hii
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Abubakar Kunenge amefanya ziara katika Mtambo wa uzalishaji maji wa Ruvu Chini na Ruvu Juu na kutoa wito kwa wananchi kuacha kutumia Mto huo kufanya shughuli za kilimo ili kutoathiri uzalishaji wa maji.
#Tuelimike_pamoja.
