DAWASA YETU WIKI HII
30 Dec, 2025
Pakua
Gazeti mtandao wiki hii
Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amefanya ziara katika chanzo cha maji cha Mtambo wa Kuzalisha maji cha Ruvu Chini ili kukagua hali ya Mto Ruvu pamoja na hali ya uzalishaji maji ambapo amewahakikishia wananchi kuimarika kwa hali ya maji katika Mto huo na kuielekeza DAWASA kuongeza nguvu ya usambazaji huduma Dar na Pwani.
