DAWASA YETU - WIKI HII
09 Jun, 2025
Pakua

DAWASA YETU - WIKI HII
Karibu usome gazeti mtandao
Wiki hii Mwenge wa Uhuru 2025 umetembelea miradi minne ya majisafi yenye thamani ya Shilingi Bilioni 38.1 inayotekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) katika Jiji la Dar es Salaam.