DAWASA YETU - WIKI HII
07 Jul, 2025
Pakua

DAWASA YETU - WIKI HII
Gazeti mtandao wiki hii
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila ametoa wito kwa Watendaji wa DAWASA kuzingatia nidhamu na kushirikiana na Wananchi ili kuimarisha huduma za majisafi na Usafi wa Mazingira.