ELIMU YA HUDUMA ZA MAJI MLANGO KWA MLANGO KINONDONI
28 Nov, 2024
Pakua
ELIMU YA HUDUMA ZA MAJI MLANGO KWA MLANGO KINONDONI
Maafisa wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) watekeleza zoezi la kutembelea nyumba kwa nyumba katika kata ya Hananasifu, Wilaya ya Kinondoni kwa lengo la kutoa Elimu kuhusiana na Huduma za DAWASA.