FAHAMU WAJIBU WA MTEJA KWA MAMLAKA
17 Jul, 2025
Pakua

FAHAMU WAJIBU WA MTEJA KWA MAMLAKA
Ndugu Mteja, fahamu wajibu wako kwa Mamlaka;
1. Kutoa ushirikiano kwa watumishi wa Mamlaka wanaokuhudumia.
2. Kutoa maoni kuhusu mipango na huduma zitolewazo na Mamlaka.
3. Kuhudhuria mikutano inayositishwa na Mamlaka ili kurahisisha upatikanaji wa taarifa sahihi.
4. Kutoharibu miundombinu ya majisafi na usafi wa mazingira.
5. Kutoa taarifa kuhusu uharibifu wa miundombinu na vyanzo vya maji.
6. Kulipa Ankara kwa wakati ili kuifanya Mamlaka iwe na uwezo wa kuboresha huduma kwa wateja wake.
Chanzo: Mkataba wa Huduma kwa Wateja, 2023