Wizara ya Maji

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA)

TIRA Logo
FAIDA ZA USOMAJI MITA SHIRIKISHI
17 Sep, 2025 Pakua
FAIDA ZA USOMAJI MITA SHIRIKISHI

FAIDA ZA USOMAJI MITA SHIRIKISHI

Ndugu Mteja, fahamu umuhimu wa usomaji mita shirikishi;

1. Kuhakiki usomaji wa Mita kwa pamoja.

2. Kumwezesha mteja kujua kiasi cha Maji aliyoyatumia na kiasi cha bili atakachodaiwa.

3. Kuongeza uaminifu wa Taasisi kwa wateja.

4. Kupunguza malalamiko kwa wateja.

5. Kuimarisha mahusiano mazuri na wateja.

6. Kuwarahisishia wateja kulipa bili ya Maji kwa wakati.