Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
HAFLA YA UTIAJI SAINI MKATABA UJENZI WA MRADI WA MFUMO WA KUTIBU MAJITAKA KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM
16 Dec, 2024 Pakua

Mradi kunufaisha wakazi 733,865 katika Wilaya za Ilala na Kinondoni

Mgeni Rasmi ni Mhe. Jumaa Aweso (Mb) - Waziri wa Maji

Tarehe: 16 Desemba, 2024 

Eneo: Ukumbi wa Golden Jubilee Tower