HAKIKI MITA YAKO YA MAJI
14 Jul, 2025
Pakua
HAKIKI MITA YAKO YA MAJI
Ndugu Mteja, zoezi la usomaji na uhakiki wa mita za Maji linaendelea mtaani kwako.
Endapo umepata ujumbe wa kiasi cha Unit za maji ulizotumia hakiki kwa kulinganisha na unit inavyoonekana kwenye mita yako ya Maji.
Kwa changamoto yoyote wasiliana nasi kupitia kituo cha huduma kwa wateja 0800110064 (Bure) au 0735 202 121 (WhatsApp Tu).
